iqna

IQNA

Sheikh Ahmad el-Tayeb
TEHRAN (IQNA) - Baraza kuu la kutekeleza malengo ya Waraka wa Urafiki wa Kibinadamu baina ya Taasisi ya Al-Azhar ya Misri na Vatican limetoa wito kwa viongozi na wafuasi wa dini zote duniani kuainisha Mei 14 kama siku maalumu ya duaa na maombi kwa ajili ya kumuomba Mwenyezi Mungu ainusuru dunia kutokana na janga la COVID-19.
Habari ID: 3472733    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/04